获取演示
Now livetag icon
Ad Intelligence Presents: Ads in ChatGPT & Google. Download the reportbanner icon

5月16日的Msahafu wa Kiswahili السواحيلي应用程序分析

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

  • Quran Audio Library
  • Apple 应用商店
  • 免费
  • 教育
Unaweza kupakua Programu na kuvinjari Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri (Hapa jina la lugha) kwa njia rahisi na nyepesi zaidi na kwa ubunifu mzuri wa kuvutia, uliobuniwa na wachoraji mahiri wa mapambo ya Qur'ani katika ulimwengu kwa muonekano wa kuvutia. ***Vipengele vya Apilikesheni*** - Wepesi wa kutumia ukurasa na imerahisishwa kwa kiwango cha hali ya juu. - Utafutaji wa haraka zaidi, utafutaji katika aya za Qur'ani na katika majina ya sura na Juzuu. - Kusoma Qur'ani, furahia kisomo cha Qur'ani Tukufu kutoka katika nakala iliyohakikiwa, iliyobuniwa kwa ubunifu mzuri na wa kuvutia. - Tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, ifahamu Qur'ani Tukufu kwa lugha yako kupitia tafsiri ya maana yake katika lugha ya Kiswahili - Lugha mbali mbali, vinjari programu kwa lugha yako au kwa lugha unayopenda kuitumia katika Msahafu. - Visomo, Kusikiliza kisomo cha Qur'ani Tukufu kwa sauti za wasomaji mashuhuri na wenye visomo vitamu. - Kicheza sauti cha hali ya juu: Opereta inakupa uwezo wa hali ya juu, mfano kurudia rudia kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu. - Vituo: Kuongeza alama za marejeo na kuziongoza, kwa ajili ya wepesi wa kurejea katika sehemu za kusimama katika aya maalum. - Vipendwa: Kuongeza idadi yoyote ya aya katika vipendwa, kwa ajili ya wepesi wa kuzirejea baadaye. - Kuongeza maoni: Kuongeza maoni na mazingatio wakati wa kusoma Qur'ani, au kusoma tafsiri ya maana yake. - Kushiriki: Kushiriki aya au maana yake kwa marafiki zako kupitia Apilikesheni na mitandao ya kijamii. - Ubunifu wa kipekee: Imekamilika kuchagua rangi na mapambo ya kuvutia macho, na ubunifu wa kisasa ulionukuliwa kutoka katika tamaduni za wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili Designed and Developed by: https://smartech.online
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

商店排名

商店排名基于 Google 和 Apple 设置的多个参数。

所有品类在
美国--
教育在
美国--
创建账号以查看平均每月下载量联系我们

动态Msahafu wa Kiswahili السواحيلي排名统计

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي的 Similarweb 使用排名和Apple 应用商店排名

排名

没有可用的数据

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي按国家/地区排名

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي在主要类别中排名最高的县

无数据可显示

顶级竞争对手和替代应用程序

同一商店内很有可能被同一批用户使用的应用程序。

Quran Mobile - القران الكريم

Quran Mobile - القران الكريم

Thamir Abdelbasit

Quran Tajweed قرآن تجويد

Quran Tajweed قرآن تجويد

Akarim Ba

Learn Quran Tajwid

Learn Quran Tajwid

Yayasan Learn Quran

Islamic Calendar & Prayer Apps

Islamic Calendar & Prayer Apps

Imran Qureshi

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي VS.

五月 16, 2026