Katekisimu Ndogo app analytics for January 10

Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo

  • AlberaInfoTech
  • Google Play Store
  • Free
  • Education
Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998. Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki , zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu: 1: SEHEMU YA KWANZA : IMANI - Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani. 1.0 : NASADIKI 1.1 : KWA MUNGU BABA MWENYEZI 1.2 : MUUMBA MBINGU NA DUNIA 1.3 : YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA 1.4 : AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU 1.5 : AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI 1.6 : TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU 1.7 : NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU 1.8 : KANISA TAKATIFU KATOLIKI 1.9 : USHIRIKA WA WATAKATIFU 1.10 : MAONDOLEO YA DHAMBI 1.11 : UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE 2: SEHEMU YA PILI : SAKRAMENTI -Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia,Neema, Visakramenti, Sakramenti umuhimu wa Sakramenti , nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo: 2.0 : LITURJIA 2.1 : NEEMA 2.2 : SAKRAMENTI 2.3 : VISAKRAMENTI 2:4 : SALA 3: SEHEMU YA TATU : AMRI Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Mungu na za kanisa, pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala ya fadhila , aina za fadhila,dhambi aina za dhambi, vishawishi na asili zake, na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo. 3.0 : AMRI KUU 3.1 : AMRI KUMI ZA MNGU 3.2 : AMRI ZA KANISA 3.3 : FADHILA 3.4 : DHAMIRI 3.5 : DHAMBI 3.6 : VISHAVISHI 4: SEHEMU YA NNE : SALA MUHIMU Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku , namna ya kusali, wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima. 4.0 : SALA ZA ASUBUHI 4.1 : SALA YA JIONI 4.2 : SALA KABLA YA MAFUNDISHO 4.3 : SALA WAKATI WA KUUNGAMA 4.4 : SALA ZA JIONI 4.5 : SALA ZA KOMUNYIO 4.6 : SALA KWA BIKIRA MARIA
Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo Usage Rank

The usage rank is based on Similarweb's algorithm that calculates current installs and active users over a 28-day period.

All Categories in
United States--
Education in
United States--

Daily active users

Analyze usage patterns of Katekisimu Ndogo users by viewing Katekisimu Ndogo downloads and daily active users over time.

Users

Analyze usage patterns of Katekisimu Ndogo users by viewing Katekisimu Ndogo downloads and daily active users over time.

Unlock daily active users
NovDecJan

Katekisimu Ndogo Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Google Play Store Rank for Katekisimu Ndogo

Rank

No Data Available

Katekisimu Ndogo Ranking by Country

Counties in which Katekisimu Ndogo has the highest ranking in its main categories

No Data to Display

Users Interests & Top Categories

Top categories and apps used by Katekisimu Ndogo users

No Data to Display

Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

No Data to Display
Katekisimu Ndogo

January 10, 2025