Sala na Maombi ya Kweli app analytics for December 31

Sala na Maombi ya Kweli

Sala na Maombi ya Kweli

  • Sachatech Ltd
  • Google Play Store
  • Free
  • Lifestyle
Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii. App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo; 1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vile:- ✔Ndoa/Mahusiano ✔Kazi ✔Msamaha ✔Masuala ya kifedha ✔Uponyaji ✔Nguvu za giza na mengine mengi. 2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani. 3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia. 4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vile:- ✔Uponyaji ✔Upendo ✔Msamaha ✔Ufufuo ✔Ndoa/Mahusiano ✔Imani nakadhalika 5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu. Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vile:- ✔Nyimbo za Injili ✔Tenzi za Rohoni ✔Nyimbo za Wokovu ✔Nyimbo za Ibada ✔Mwimbieni Bwana ✔Nyimbo za Kristo ✔Nyimbo za Imani Yetu ✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII; 1. Sala na Maombi 2. Ibada Kila Siku 3. Visa vya Biblia 4. Gunduzi Muhimu 5. Unabii 6. Nyimbo za Ibada 7. Mafundisho ya Biblia NOTE: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.
Sala na Maombi ya Kweli

Sala na Maombi ya Kweli Usage Rank

The usage rank is based on Similarweb's algorithm that calculates current installs and active users over a 28-day period.

All Categories in
United States--
Lifestyle in
United States--

Daily active users

Analyze usage patterns of Sala na Maombi ya Kweli users by viewing Sala na Maombi ya Kweli downloads and daily active users over time.

Users

Analyze usage patterns of Sala na Maombi ya Kweli users by viewing Sala na Maombi ya Kweli downloads and daily active users over time.

Unlock daily active users
NovDecDec

Sala na Maombi ya Kweli Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Google Play Store Rank for Sala na Maombi ya Kweli

Rank

No Data Available

Sala na Maombi ya Kweli Ranking by Country

Counties in which Sala na Maombi ya Kweli has the highest ranking in its main categories


Users Interests & Top Categories

Top categories and apps used by Sala na Maombi ya Kweli users

No Data to Display

Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

No Data to Display
Sala na Maombi ya Kweli

December 31, 2024