Tenzi Za Rohoni vs Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161 Usage & Stats
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).
• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
- Google Play Store
- Free
- Books & Reference
Store Rank
- -
Pogramu hii ya Tenzi za Rohoni imeboreshwa sasa unaweza kupata nyimbo za injili za kusifu na kumwabudu Mungu bila kuwa na intaneti (Offline). Pia unaweza kutafuta wimbo wowotewa Tenzi za Rohoni kwa haraka.
App hii ya Tenzi za Rohoni imepangiliwa vizuri kukuwezesha kupata kwa urahisi nyimbo za dini za kusifu na kuabudu kutoka katika Kitabu cha Tenzi za Rohoni.
- Google Play Store
- Free
- Books & Reference
Store Rank
- -
Tenzi Za Rohoni vs. Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161 ranking comparison
Compare Tenzi Za Rohoni ranking trend in the past 28 days vs. Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161
Tenzi Za Rohoni- -
Rank
Tenzi Za Rohoni vs. Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161 ranking by country comparison
Compare Tenzi Za Rohoni ranking trend in the past 28 days vs. Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161
All categories
Books & Reference
Compare to any site with our free trial
Tenzi Za Rohoni VS.
Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161
January 6, 2025