Msahafu wa Kiswahili السواحيلي app analytics for March 16

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

  • Quran Audio Library
  • Apple App Store
  • Free
  • Education
Unaweza kupakua Programu na kuvinjari Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri (Hapa jina la lugha) kwa njia rahisi na nyepesi zaidi na kwa ubunifu mzuri wa kuvutia, uliobuniwa na wachoraji mahiri wa mapambo ya Qur'ani katika ulimwengu kwa muonekano wa kuvutia. ***Vipengele vya Apilikesheni*** - Wepesi wa kutumia ukurasa na imerahisishwa kwa kiwango cha hali ya juu. - Utafutaji wa haraka zaidi, utafutaji katika aya za Qur'ani na katika majina ya sura na Juzuu. - Kusoma Qur'ani, furahia kisomo cha Qur'ani Tukufu kutoka katika nakala iliyohakikiwa, iliyobuniwa kwa ubunifu mzuri na wa kuvutia. - Tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, ifahamu Qur'ani Tukufu kwa lugha yako kupitia tafsiri ya maana yake katika lugha ya Kiswahili - Lugha mbali mbali, vinjari programu kwa lugha yako au kwa lugha unayopenda kuitumia katika Msahafu. - Visomo, Kusikiliza kisomo cha Qur'ani Tukufu kwa sauti za wasomaji mashuhuri na wenye visomo vitamu. - Kicheza sauti cha hali ya juu: Opereta inakupa uwezo wa hali ya juu, mfano kurudia rudia kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu. - Vituo: Kuongeza alama za marejeo na kuziongoza, kwa ajili ya wepesi wa kurejea katika sehemu za kusimama katika aya maalum. - Vipendwa: Kuongeza idadi yoyote ya aya katika vipendwa, kwa ajili ya wepesi wa kuzirejea baadaye. - Kuongeza maoni: Kuongeza maoni na mazingatio wakati wa kusoma Qur'ani, au kusoma tafsiri ya maana yake. - Kushiriki: Kushiriki aya au maana yake kwa marafiki zako kupitia Apilikesheni na mitandao ya kijamii. - Ubunifu wa kipekee: Imekamilika kuchagua rangi na mapambo ya kuvutia macho, na ubunifu wa kisasa ulionukuliwa kutoka katika tamaduni za wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili Designed and Developed by: https://smartech.online
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Store Rank

The Store Rank is based on multiple parameters set by Google and Apple.

All Categories in
United States--
Education in
United States--
Create an account to see avg.monthly downloadsContact us

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Apple App Store Rank for Msahafu wa Kiswahili السواحيلي

Rank

No Data Available

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي Ranking by Country

Counties in which Msahafu wa Kiswahili السواحيلي has the highest ranking in its main categories


Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

The Quran : القران الكريم

The Quran : القران الكريم

Ayoub El Omrani

Islamic Calendar & Prayer Apps

Islamic Calendar & Prayer Apps

Imran Qureshi

Quran Tajweed قرآن تجويد

Quran Tajweed قرآن تجويد

Akarim Ba

Quranic: Quran Arabic Learning

Quranic: Quran Arabic Learning

BusyPeople LLC

Msahafu wa Kiswahili السواحيلي VS.

March 16, 2025