Smart EFD v2 vs Bezaleli Usage & Stats

Application inayokuwezesha kutoa risiti za mauzo zilizopitishwa na TRA kwa kutumia simu yako kirahisi na uhakika zaidi. An application that enables you to issue TRA approved fiscal receipts to your customers by just using your smart phone
  • Apple App Store
  • Free
  • Utilities

Store Rank

- -

Bezaleli ni mtandao unoliunganisha Kanisa la TAG kuanzia ngazi ya washirika, wachungaji, Kanisa la mahali pamoja, sehemu (section), majimbo, kanda hadi Kanisa la Taifa. Mawasiliano Bezaleli inarahisisha upatikanai wa taarifa rasmi za Kanisa kwa washirika na wachungaji katika ngazi zote. Makusanyo Ukusanyaji na utawanyaji wa Sadaka na Matoleo katika kanisa la TAG umerahisishwa hivyo kuongeza uwajibikaji katika ngazi zote. Bezaleli inakusaidia kuweza kupata namba za kumbukumbu za malipo (Control Numbers) kwa ajili ya kuwasilisha malipo. Takwimu Pata takwimu za fedha na mpango mkakati zitakazosaidia kufanya maamuzi katika ngazi zote za Kanisa.
  • Apple App Store
  • Free
  • Utilities

Store Rank

- -

Smart EFD v2 vs. Bezaleli ranking comparison

Compare Smart EFD v2 ranking trend in the past 28 days vs. Bezaleli

Rank

No Data Available

Smart EFD v2 vs. Bezaleli ranking by country comparison

Compare Smart EFD v2 ranking trend in the past 28 days vs. Bezaleli

No Data to Display

Compare to any site with our free trial

Get started
Smart EFD v2 VS.
Bezaleli

December 23, 2024