NSSF Taarifa vs UTT AMIS Usage & Stats

Mfumo wa "NSSF TAARIFA" ni mahususi kwa mwanachama, mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake. Kupitia Mfumo huu utawawezesha mwanachana kufanya mambo yafuatayo: a) Kuangalia taarifa za usajili wake ‘Member Profile’ (taarifa binafsi). b) Kuangalia taarifa za michango yote iliyowasilishwa na kampuni yake katika Shirika au michango iliyowasilishwa na mwanachama kwa wanachana hiari. c) kupata taarifa za michango (Statements).
  • Apple App Store
  • Free
  • Finance

Store Rank

- -

UTT Asset Management and Investor Services (UTT AMIS) is a fund management company that deals with establishment, launching and managing collective investment Service. The company also provides Wealth Management Service. UTT AMIS operates based on the Capital Markets and Securities Act, 1994(Amended) and Collective Investment Schemes Regulations, 1997. Currently the company manages five funds which are Umoja, Wekeza Maisha, Watoto, Jikimu and Liquid Funds. UTT AMIS ni kampuni ya uwekezaji yenye kuhusika na uanzishaji na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja.Kampuni hii pia inatoa huduma za usimamizi wa amana(Wealth Management Services) UTT AMIS inafanya kazi zake kutokana na sheria za masoko ya mitaji na dhamana ya mwaka 1994(iliyorekebishwa) na kanuni ya Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja ya mwaka 1997. UTT AMIS kwa sasa inasimamia mifuko mitano ya uwekezaji ambayo ni Umoja, Wekeza Maisha, Watoto,kujikimu na Ukwasi.
  • Apple App Store
  • Free
  • Finance

Store Rank

- -

NSSF Taarifa vs. UTT AMIS ranking comparison

Compare NSSF Taarifa ranking trend in the past 28 days vs. UTT AMIS

Rank

No Data Available

NSSF Taarifa vs. UTT AMIS ranking by country comparison

Compare NSSF Taarifa ranking trend in the past 28 days vs. UTT AMIS

All categories

No Data Available

Finance

App
Top Country
Rank
#140
- -
- -

Compare to any site with our free trial

Get started
NSSF Taarifa VS.
UTT AMIS

December 19, 2024