Nyimbo Za Kristo app analytics for January 1

Nyimbo Za Kristo

Nyimbo Za Kristo

  • Justin Bulenga
  • Apple App Store
  • Paid
  • Reference
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi. • Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments). • Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu na kuongeza au kupunguza kasi ya uchezaji. • Inakuwezesha kutafuta wimbo kwa haraka kwa kutumia namba. • Inakuwezesha kuona wimbo wa mwisho kutazamwa katika orodha kwa kuuangazia rangi. • Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa umefungua wimbo tofauti na huo. • Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho. Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga.
Nyimbo Za Kristo

Store Rank

The Store Rank is based on multiple parameters set by Google and Apple.

All Categories in
United States--
Reference in
United States--
Create an account to see avg.monthly downloadsContact us

Nyimbo Za Kristo Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Apple App Store Rank for Nyimbo Za Kristo

Rank

No Data Available

Nyimbo Za Kristo Ranking by Country

Counties in which Nyimbo Za Kristo has the highest ranking in its main categories


Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

Biblia Takatifu ya Kiswahili.

Biblia Takatifu ya Kiswahili.

Balasubramaniyan Thambusamy

Mzizi School App

Mzizi School App

Ultratude Tech

Kenyan Constitution

Kenyan Constitution

Tayyib Oladoja

Silabu - The Learning App

Silabu - The Learning App

WorldClass Group of Companies Limited

Nyimbo Za Kristo VS.

January 1, 2025