- Home
- Free App Analytics
- Twenzao
- Twenzao Vs. Napa Mobile App
Twenzao vs Napa Mobile App Usage & Stats
Umewahi kuwa unaendesha gari binafsi ukiwa na siti tupu ukatamani ungepata abiria wa kukuchangia gharama za mafuta?
Umewahi kuachwa na basi ukatamani ungeweza kupata usafiri wa gari binafsi kwa namna rahisi na kwa bei isiyozidi ya basi?
Jibu lako ni "Twenzao", app inayokuunganisha dereva wa gari binafsi na abiria wanaoenda mwelekeo wako. Hakuna makato yoyote kutumia app ya Twenzao, anacholipa abiria ndicho anachopata dereva.
Twenzao inakuhakikishia usalama wako, taarifa za wasafiri wote tunazo, wawe ni madereva au abiria, na pia app ya Twenzao inakusanya taarifa kuhusu safari yenu, kwa mfano mahali mlipo.
Faida za Twenzao kwa ufupi:
- Starehe ya gari binafsi kwa bei nafuu isiyozidi ya basi.
- Safiri salama na watu ambao taarifa zao zimehakikiwa na safari yenu inatambulika.
- Kwepa usumbufu wa madalali.
- Anza safari muda wowote, sio lazima alfajiri kama ilivyozoeleka.
- Pata safari hata kwenda kwenye vijiji ambapo mabasi hayasimami.
- Kuwa huru kusimama au kutosimama safarini kuendana na makubaliano yenu mnaosafiri.
Twenzao, safiri salama kwa bei nafuu.
- Apple App Store
- Free
- Travel
Store Rank
- -
Sasa unaweza kuwa mwenyeji wa mahali usipopajua kirahisi sana. Pata uelekeo wa anwani husika unayotaka kwenda kwa urahisi zaidi ukiwa na simu janja mkononi mwako. Pitia kupitia programu tumizi hizi utaweza kufahamu hudama mbalimbali ziilizopo karibu yako mpaka zile huduma ndogo ndogo kama vile maduka, wakala n.k,
- Apple App Store
- Free
- Navigation
Store Rank
- -
Twenzao vs. Napa Mobile App ranking comparison
Compare Twenzao ranking trend in the past 28 days vs. Napa Mobile App
Rank
No Data Available
Twenzao vs. Napa Mobile App ranking by country comparison
Compare Twenzao ranking trend in the past 28 days vs. Napa Mobile App
No Data to Display
Compare to any site with our free trial
Twenzao VS.
Napa Mobile App
January 3, 2025