Twenzao app analytics for December 31

Twenzao

Twenzao

  • Amos Mushumbusi
  • Apple App Store
  • Free
  • Travel
Umewahi kuwa unaendesha gari binafsi ukiwa na siti tupu ukatamani ungepata abiria wa kukuchangia gharama za mafuta? Umewahi kuachwa na basi ukatamani ungeweza kupata usafiri wa gari binafsi kwa namna rahisi na kwa bei isiyozidi ya basi? Jibu lako ni "Twenzao", app inayokuunganisha dereva wa gari binafsi na abiria wanaoenda mwelekeo wako. Hakuna makato yoyote kutumia app ya Twenzao, anacholipa abiria ndicho anachopata dereva. Twenzao inakuhakikishia usalama wako, taarifa za wasafiri wote tunazo, wawe ni madereva au abiria, na pia app ya Twenzao inakusanya taarifa kuhusu safari yenu, kwa mfano mahali mlipo. Faida za Twenzao kwa ufupi: - Starehe ya gari binafsi kwa bei nafuu isiyozidi ya basi. - Safiri salama na watu ambao taarifa zao zimehakikiwa na safari yenu inatambulika. - Kwepa usumbufu wa madalali. - Anza safari muda wowote, sio lazima alfajiri kama ilivyozoeleka. - Pata safari hata kwenda kwenye vijiji ambapo mabasi hayasimami. - Kuwa huru kusimama au kutosimama safarini kuendana na makubaliano yenu mnaosafiri. Twenzao, safiri salama kwa bei nafuu.
Twenzao

Store Rank

The Store Rank is based on multiple parameters set by Google and Apple.

All Categories in
United States--
Travel in
United States--
Create an account to see avg.monthly downloadsContact us

Twenzao Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Apple App Store Rank for Twenzao

Rank

No Data Available

Twenzao Ranking by Country

Counties in which Twenzao has the highest ranking in its main categories

No Data to Display

Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

Safiri - Plan Trip, Buy Ticket

Safiri - Plan Trip, Buy Ticket

ITULE LTD

Napa Mobile App

Napa Mobile App

Ministry of Information, Communication and Information Technology

Flightlink

Flightlink

Flightlink Limited

Twende

Twende

Twende Technologies Ltd

Twenzao VS.

December 31, 2024