egazeti app analytics for December 25

egazeti

egazeti

  • Abdillah Muna
  • Apple App Store
  • Free
  • Newsstand
Egazeti provides access to Mwananchi, The Citizen and Mwanaspoti publications on best mobile experience. Through egazeti you can access special reports right on your finger tips. Egazeti support various payments methods such as Tanzania mobile money: Tigopesa Airtel money M-Pesa and others. eGazeti is offerer by Mwananchi Communications LTD and Dau Technology LTD. --- Swahili --- eGAZETI ni mfumo bora wa kusoma magazeti ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Mwananchi Communications Limited and Dau Technology Limited wanafurahi kukuletea mfumo wa eGAZETI, unataka kufanana na Mwananchi Epaper reader. kwa kushirikiana na Dau Technology LTD, eGAZETI inakuletea mfumo ambao ni rafiki kwa mtumiaji. e Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti yote ya Mwananchi, The Citizen na gazeti lako pendwa la michezo la Mwanaspoti. Pia e Gazeti inakuletea uwezo wa kusoma habari mbalimbali za kiuchambuzi kama vile Special reports, ambayo ni habari maalumu kutoka gazeti la Mwananchi na The Citizen. Kuwa wa kwanza kupata habari zenye viwango vya juu, zilizothibitishwa kimataifa. Kwa kutumia eGAZETI utapata habari kutoka gazeti la: - Mwananchi: ambalo limesheheni habari mbalimbali za Siasa, Michezo, Chambuzi mbalimbali. Ni gazeti linaoongoza Tanzania, na Afrika mashariki ambalo hutoka kila siku, - The Citizen: Ni gazeti la kingereza ambalo hutoka kila siku lenye habari za kitaifa na kimataifa, habari za siasa, biashara na mengine mengi. - Mwanaspoti: Ni gazeti la michezo, burudani. Kama wewe ni mpenda michezo au mfuatiliaji wa michezo, mwanaspoti litakupa yote haya. Pia: eGAZETI inakupatia namna bora na rafiki ya kufanya malipo kwa mitandao yote pendwa. Hii siyo Mwananchi Blog, ni mfumo kamili wa kusoma magazeti yetu kwa njia ya kidigitali App ya Gazeti kwa mfumo wa epaper itakuwezesha kusoma machapisho hata kama utakuwa offline baada ya kupakua mwanzoni, pia itakuwezesha kuona maktaba yako ambayo inakurahisishia usomaji. Utaweza kuchagua na kulipia gazeti kwa: Malipo kwa siku Malipo kwa wiki Malipo kwa mwezi Malipo kwa miezi mitatu na Malipo kwa mwaka mmoja Karibu, "First with credible news"
egazeti

Store Rank

The Store Rank is based on multiple parameters set by Google and Apple.

All Categories in
United States--
Newsstand in
United States--
Create an account to see avg.monthly downloadsContact us

egazeti Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Apple App Store Rank for egazeti

Rank

No Data Available

egazeti Ranking by Country

Counties in which egazeti has the highest ranking in its main categories


Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

Nation ePaper

Nation ePaper

Nation Media Group Ltd

Insurance Times Africa

Insurance Times Africa

Imatic Technologies Limited

The CEO Magazine

The CEO Magazine

Bean media Group Pty Ltd

Cruncher Technology News

Cruncher Technology News

Farouk Elsayed

egazeti VS.

December 25, 2024