- Home
- 应用程序分析
- Tenzi Za Rohoni
- Tenzi Za Rohoni Vs. eMrejesho
Tenzi Za Rohoni 对比 eMrejesho 的使用情况和统计数据
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).
• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.
• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa
utukufu wa Mungu.
- Apple 应用商店
- 付费
- 参考资料
商店排名
- -
eMrejesho mfumo wa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Mailizo na Pongezi.
- Apple 应用商店
- 免费
- 教育
商店排名
- -
Tenzi Za Rohoni与eMrejesho排名比较
对比 Tenzi Za Rohoni 与 eMrejesho 在过去 28 天内的排名趋势
Tenzi Za Rohoni- -
排名
Tenzi Za Rohoni 对比 eMrejesho 的排名,按国家/地区比较
对比 Tenzi Za Rohoni 与 eMrejesho 在过去 28 天内的排名趋势
所有品类
没有可用的数据
参考资料
通过免费试用版比较任何网站
Tenzi Za Rohoni VS.
eMrejesho
十二月 25, 2024