eMrejesho 对比 Tenzi Za Rohoni 的使用情况和统计数据

eMrejesho mfumo wa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Mailizo na Pongezi.
  • Apple 应用商店
  • 免费
  • 教育

商店排名

- -

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments). • Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu • Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine. • Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha. • Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho. Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa utukufu wa Mungu.
  • Apple 应用商店
  • 付费
  • 参考资料

商店排名

- -

eMrejesho与Tenzi Za Rohoni排名比较

对比 eMrejesho 与 Tenzi Za Rohoni 在过去 28 天内的排名趋势

排名

没有可用的数据

eMrejesho 对比 Tenzi Za Rohoni 的排名,按国家/地区比较

对比 eMrejesho 与 Tenzi Za Rohoni 在过去 28 天内的排名趋势

所有品类

没有可用的数据

教育

应用
热门国家/地区
排名
- -
- -
#23

通过免费试用版比较任何网站

开始使用
eMrejesho VS.
Tenzi Za Rohoni

一月 6, 2025