Twenzao vs Twende Uso e estatísticas

Umewahi kuwa unaendesha gari binafsi ukiwa na siti tupu ukatamani ungepata abiria wa kukuchangia gharama za mafuta? Umewahi kuachwa na basi ukatamani ungeweza kupata usafiri wa gari binafsi kwa namna rahisi na kwa bei isiyozidi ya basi? Jibu lako ni "Twenzao", app inayokuunganisha dereva wa gari binafsi na abiria wanaoenda mwelekeo wako. Hakuna makato yoyote kutumia app ya Twenzao, anacholipa abiria ndicho anachopata dereva. Twenzao inakuhakikishia usalama wako, taarifa za wasafiri wote tunazo, wawe ni madereva au abiria, na pia app ya Twenzao inakusanya taarifa kuhusu safari yenu, kwa mfano mahali mlipo. Faida za Twenzao kwa ufupi: - Starehe ya gari binafsi kwa bei nafuu isiyozidi ya basi. - Safiri salama na watu ambao taarifa zao zimehakikiwa na safari yenu inatambulika. - Kwepa usumbufu wa madalali. - Anza safari muda wowote, sio lazima alfajiri kama ilivyozoeleka. - Pata safari hata kwenda kwenye vijiji ambapo mabasi hayasimami. - Kuwa huru kusimama au kutosimama safarini kuendana na makubaliano yenu mnaosafiri. Twenzao, safiri salama kwa bei nafuu.
  • Apple App Store
  • Gratuitos
  • Turismo

Ranking da Loja

- -

Omba usafiri upate dereva ndani ya dakika chache kupitia Twende. Tunakupa chaguo la usafiri wa aina tatu, Gari , Bajaj au Bodaboda, yoyote inayokidhi haja yako. 1. Pakua 'Twende' bure, kisha kamilisha usajili 2. Twende ina uwezo wa kutambua eneo ulilopo, kazi yako ni kutaja unapotaka kwenda, kisha uanze kuomba usafiri 3. Unaweza kuangalia eneo alilopo dereva na kadri anavyo kukaribia ,utaweza kutulia na kufurahia safari yako! 4. Mwisho wa safari utaweza lipa nauli yako. Kwa taarifa zaidi tembelea www.twende.co.tz
  • Apple App Store
  • Gratuitos
  • Navegação

Ranking da Loja

- -

Twenzao versus Twende comparação de classificação

Compare a tendência de classificação de Twenzao nos últimos 28 dias versus Twende

Classificação

Nenhum dado disponível

Comparação da classificação de Twenzao vs. Twende por país

Compare a tendência de classificação de Twenzao nos últimos 28 dias versus Twende

Nenhum dado para exibir

Faça comparações com qualquer site com o nosso teste grátis

Comece agora
Twenzao VS.
Twende

janeiro 5, 2025