- Home
- Analyses d’applications gratuites
- Tenzi Za Rohoni
- Tenzi Za Rohoni Vs. Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161
- Allemagne
Tenzi Za Rohoni vs Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161 Utilisation & Stats
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).
• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
- Google Play Store
- Gratuit
- Livres & Référence
Classement dans le store
- -
Pogramu hii ya Tenzi za Rohoni imeboreshwa sasa unaweza kupata nyimbo za injili za kusifu na kumwabudu Mungu bila kuwa na intaneti (Offline). Pia unaweza kutafuta wimbo wowotewa Tenzi za Rohoni kwa haraka.
App hii ya Tenzi za Rohoni imepangiliwa vizuri kukuwezesha kupata kwa urahisi nyimbo za dini za kusifu na kuabudu kutoka katika Kitabu cha Tenzi za Rohoni.
- Google Play Store
- Gratuit
- Livres & Référence
Classement dans le store
- -
Comparaison des classements Tenzi Za Rohoni vs. Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161
Comparez l'évolution du classement de Tenzi Za Rohoni au cours des 28 derniers jours à celle de Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161.
Tenzi Za Rohoni- -
Rank
Comparaison des classements Tenzi Za Rohoni et Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161 par pays
Comparez l'évolution du classement de Tenzi Za Rohoni au cours des 28 derniers jours à celle de Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161.
Toutes les catégories
Livres & Référence
Comparez avec n'importe quel site grâce à notre essai gratuit
Tenzi Za Rohoni VS.
Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161
janvier 6, 2025