Tenzi Za Rohoni im Vergleich zu Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161 Nutzung und Statistiken

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments). • Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu • Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine. • Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza. • Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona inafaa. • Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi. • Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
  • Google Play Store
  • Kostenlos
  • Bücher und Nachschlagewerke

Rang speichern

- -

Pogramu hii ya Tenzi za Rohoni imeboreshwa sasa unaweza kupata nyimbo za injili za kusifu na kumwabudu Mungu bila kuwa na intaneti (Offline). Pia unaweza kutafuta wimbo wowotewa Tenzi za Rohoni kwa haraka. App hii ya Tenzi za Rohoni imepangiliwa vizuri kukuwezesha kupata kwa urahisi nyimbo za dini za kusifu na kuabudu kutoka katika Kitabu cha Tenzi za Rohoni.
  • Google Play Store
  • Kostenlos
  • Bücher und Nachschlagewerke

Rang speichern

- -

Tenzi Za Rohonivs. Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161 Ranking-Vergleich

Vergleichen Sie Tenzi Za Rohoni den Ranking-Trend der letzten 28 Tage mit Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161

Tenzi Za RohoniTenzi Za Rohoni- -

Rang

Tenzi Za Rohoni im Vergleich zu Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161 Ranking im Ländervergleich

Vergleichen Sie Tenzi Za Rohoni den Ranking-Trend der letzten 28 Tage mit Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161

Stellen Sie mit unserer kostenlosen Testversion Vergleiche mit jeder Website an

Los geht's
Tenzi Za Rohoni VS.
Tenzi za Rohoni - Nyimbo 161

Januar 6, 2025