Katekisimu Ndogo App-Analysen für 23. März

Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo

  • AlberaInfoTech
  • Google Play Store
  • Kostenlos
  • Bildung
Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998. Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki , zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu: 1: SEHEMU YA KWANZA : IMANI - Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani. 1.0 : NASADIKI 1.1 : KWA MUNGU BABA MWENYEZI 1.2 : MUUMBA MBINGU NA DUNIA 1.3 : YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA 1.4 : AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU 1.5 : AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI 1.6 : TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU 1.7 : NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU 1.8 : KANISA TAKATIFU KATOLIKI 1.9 : USHIRIKA WA WATAKATIFU 1.10 : MAONDOLEO YA DHAMBI 1.11 : UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE 2: SEHEMU YA PILI : SAKRAMENTI -Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia,Neema, Visakramenti, Sakramenti umuhimu wa Sakramenti , nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo: 2.0 : LITURJIA 2.1 : NEEMA 2.2 : SAKRAMENTI 2.3 : VISAKRAMENTI 2:4 : SALA 3: SEHEMU YA TATU : AMRI Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Mungu na za kanisa, pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala ya fadhila , aina za fadhila,dhambi aina za dhambi, vishawishi na asili zake, na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo. 3.0 : AMRI KUU 3.1 : AMRI KUMI ZA MNGU 3.2 : AMRI ZA KANISA 3.3 : FADHILA 3.4 : DHAMIRI 3.5 : DHAMBI 3.6 : VISHAVISHI 4: SEHEMU YA NNE : SALA MUHIMU Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku , namna ya kusali, wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima. 4.0 : SALA ZA ASUBUHI 4.1 : SALA YA JIONI 4.2 : SALA KABLA YA MAFUNDISHO 4.3 : SALA WAKATI WA KUUNGAMA 4.4 : SALA ZA JIONI 4.5 : SALA ZA KOMUNYIO 4.6 : SALA KWA BIKIRA MARIA
Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo-Nutzungsrang

Das Ranking der Nutzung basiert auf dem Algorithmus von Similarweb, der aktuelle Installationen und aktive Benutzer:innen über einen Zeitraum von 28 Tagen berechnet.

Alle Kategorien in
Vereinigte Staaten--
Bildung in
Vereinigte Staaten--

Täglich aktive Benutzer

Analysieren Sie die Nutzungsmuster von Katekisimu Ndogo Benutzern, indem Sie Katekisimu Ndogo Herunterladen und täglich aktive Benutzer im Laufe der Zeit anzeigen.

Benutzer

Analysieren Sie die Nutzungsmuster von Katekisimu Ndogo Benutzern, indem Sie Katekisimu Ndogo Herunterladen und täglich aktive Benutzer im Laufe der Zeit anzeigen.

Schalten Sie täglich aktive Benutzer frei
JanFebMär

Katekisimu Ndogo Ranking-Statistiken im Zeitverlauf

Similarwebs Nutzungsrang und Google Play Store Rang für Katekisimu Ndogo

Rang

Keine Daten verfügbar

Katekisimu Ndogo Rangliste nach Land

Länder mit Katekisimu Ndogo der höchsten Platzierung in ihren Hauptkategorien

Keine Daten zum Anzeigen

Benutzerinteressen und Top-Kategorien

Top-Kategorien und -Apps, die von Katekisimu Ndogo Benutzern verwendet werden

Keine Daten zum Anzeigen

Top-Wettbewerber und alternative Apps

Apps mit hoher Wahrscheinlichkeit, von denselben Benutzer:innen aus demselben Store verwendet zu werden.

Keine Daten zum Anzeigen
Katekisimu Ndogo

März 23, 2025